Dhulma na fujo

 

Picha za fujo na uharibifu zinatuzingira kote hasa kwenye intaneti. Hata hivyo kuna baadahi ya tovuti ambazo zimebuniwa na mashirika yanayojishughulisha na kuwalinda watoto na vijana, na wasichana ili kukabiliana na fujo na kuleta ulimwengu iliyo na amani. Tunawaomba mtilie maanani mitandao kama haya yafuatayo ambazo zina kiunganishi na mitandao mengine zenye muelekeo huo huo.

Msingi wa msimamo wa kutotumia-fujo katika harakati ni kuamini upendo. 
Quote from Daktari Martin Luther King, Jr.

Ninapinga utumizi wa fujo maana kila mara tutumiapo fujo na kuonekana ni kama tunapata mazuri, uzuri huu ni wa mda tu, ilhali mabaya inayotenda inadumu milele. 
Quote from Mahatma Gandhi

Chuki madharau na hasira inahatarisha afya yako maana kupiga kwa damu na usiagaji wa chakula tumboni itaathirika. 
Quote from Askofu Desmond Mpilo Tutu

Taarifa na filamu za hivi karibuni