Nyenzo za mashindano

 

Hizi ni baadhi ya nyenzo nzuri ya kutumia wakati unapobuni hadithi zako na kutayarisha kiingilio chako kwenye mashindano ya Global Dialogues. Hizi tovuti zina habari na vidokezo kuhusu HIV/UKIMWI na maswala ya kijinsia; vurugu; na utungaji wa hadithi za kuvutia, tamthilia na filamu fupi.

HIV/UKIMWI na maswala ya kijinsia: Chimbuko la habari za Kuaminika

Vurugu: tovuti nzuri zenye habari za Kuaminika

Kubuni hadithi fupi, tamthilia au filamu fupi

Taarifa na filamu za hivi karibuni