Jinsi ya kusaidia

 
Maisha ya huduma kwa jamii yanategemea maisha ya uungwaji mkono.  
Quote from Tracy Kidder, Mountains Beyond Mountains

Hapa Global Dialogues, tunajivunia kuwa waadilifu na watu wasio wabadhirifu katika matumizi ya fedha. Tunaweka rekodi ya kila Dollar, Euro na hata kila Sterling Pound. Tunaweka chini gharama za kuendesha biashara yetu, pamoja na kuweka wazi kumbukumbu zetu za kila aina ya usaidizi tunaoupokea. Tutashukuru pakubwa iwapo utatusaidia. Asante.

Taarifa na filamu za hivi karibuni