Kuopoa filamu

 

Unaweza kuopoa filamu zetu bila malipo. Kuna jinsi mbili za kuopoa:

Opoa filamu zetu zote— zikiwemo za hivi karibuni!— katika lugha inayokupendeza kutoka kwenye tovuti yetu: www.youtube.com/globaldialogues. Ili kudondoa filamu kwa usalama na urahisi kutoka kwa mtandao wa YouTube, utahitaji kwanza kuweka programu ya kudondoa  filamu. Tafadhali chagua program yako kwa makini itakayo soma mawazo ya CNET kwenye mtandao http://download.cnet.com. Kulingana na msingi wa mawazo ya CNET, program mbili za filamu tunazozipendekeza ni:

Tafadhali, Ninaweza kuopolewa hivi sasa?

Taarifa na filamu za hivi karibuni