Timu na washiriki

 

Kiini cha Global Dialogues ni ushirikiano wa mapana na marefu na wengi watokao sehemu mbali mbali na taaluma tofauti. Tangu mwaka wa 1997, mradi huu umepania katika kuleta, kudumisha na kupanua nyenzo zake kwa washirika husika wenye maono sawa hususan miongoni mwa vijana. Vijana ndio nguzo muhimu ya kundi la Global Dialogues. Wanaungwa mkono na wataalamu wa fani na taaluma mbalimbali ikiwemo:

  • Afya ya jamii Kimataifa
  • Masomo ya kuhisi maono ya wengine na kuhurumiana
  • Sauti ya Vijana, hamasisho la kijamii
  • Mabadiliko ya kijamii kupitia vyombo vya habari, ICT4D
  • Udadisi na uchambuzi wa hadithi
  • Hamasisho la mashinani na kimataifa
  • VVU/UKIMWI, Haki na Afya ya uzazi
  • Masomo ya jinsia na haki
  • Kujiepusha na ghasia; kuwalinda watoto
  • Haki za kibiinadamu
  • Sinema na sanaa ya kijamii
  • Anthropolojia, Sosholojia, Saikolojia
  • Lugha

Familia hiyo, inayokua kila mara, ni kubwa Zaidi kwetu kumtambua kila mmoja kisawasawa kwenye ukurasa huu.

Mradi huu ulifumbuliwa mwaka wa elfu moja mia tisa tisini na saba) na Global Dialogues Trust (GDT, nambari ya usajili kwa mashirika ya msaada nchini Uingereza ni 1071484) Uwakilishaji, upanuzi na uratibu kimataifa wa Mahojiano ya Kilimwengu (Global Dialogues) ndio kusudi kuu la GDT.

Washiriki wetu

Taarifa na filamu za hivi karibuni

Washiriki wetu