VVU/UKIMWI na maswala ya kujamiina

 

Tumegundua kuwa tunapozungumzia kuhusu swala la HIV/Ukimwi na masuala ya kijinsia, kuna baadhi ya mitandao ambayo huwa haina taarifa za kukufaidisha— na mingine ni hatari na potufu. Hata hivyo upekuzi wetu umetuongoza kwenye nyenzo zingine zenye habari ya kuaminika ambazo unaweza kuzitegemea na tunakuhimiza uzitazame.

Uchambuzi wa Hadithi

Viingilio vya mashindano ya Global Dialogues hufanyiwa utafiti ili kuwesha kuelewa mtazamo wa vijana kuhusu HIV/UKIMWI na masuala yanayoambatana na HIV/UKIMWI katika jamii. Hizi hapa ni baadhi ya ripoti za utafiti zilizochapishwa:

Taarifa na filamu za hivi karibuni