Karibu Global Dialogues!
Stephanie Balmir wa Haiti, Mshindi wa kwanza wa mwaka wa shindano la kimataifa la global dialogues
Global Dialogues ilianzishwa mnamo mwaka wa 1997, na huhusisha ubunifu wa vijana chipukizi na nguvu za vyombo vya habari, ikiwemo mitandao ya kijamii kwa lengo la kuleta mabadiliko au mageuzi miongoni mwa vijana. Tumekusudia kuendeleza uwezo wa kuhisi maono ya mwengine, kujaliana kwa moyo wa huruma na kuleta umoja miongoni mwa watu mbalimbali. Tunaipaaza zaidi sauti ya vijana kwa njia ya uvumbuzi, kuleta programmu za maingiliano ya kijamii, kuleta uhamasisho wa vitendo kwa umma na kote ulimwenguni kwa ujumla. Tafadhali jiunge nasi katika harakati zetu za kuleta mazingira bora na ulimwengu wenye amani. Asante!
Soma zaidi Blogu